TATIZO LA KUTOPATA USINGIZI MZURI (ISOMNIA)
Habari za leo ndugu msomaji wa blog hii ni matumaini yangu unaendelea vizuri na kufurahia blog yangu,nimekua nikiona watu wengi wakisumbuliwa na (insomnia) tatizo la kutokupata usingizi vizuri wakati wa usiku na wao kuona Hali hii ni ya kawaida wakati Hili ni tatizo na Lina madhara makubwa sana kwa mhusika,
~ISOMNIA (KUKOSA USINGIZI)_huu ni ugonjwa ambao unaambatana na tabia tofauti ambazo ni KUSHINDWA KUPATA USINGIZI KABISA, KUBADILIKA KWA MFUMO WA KULALA, KUSINZIA HARAKA BAADA YA KUPANDA KITANDANI, NA USINGIZI KUISHA NA KUSHINDWA KULALA TENA BAADA YA KUSHTUKA,
_Ugonjwa huu ni hatari sana kwa afya yetu kwasababu huathiri mfumo mzima wa mwili, mathalani Mbali ya kuathiri Kinga ya mwili pia huongeza hatari ya kupata magonjwa hatarishi
VIHATARISHI /VISABABISHI VYA UGONJWA WA ISOMNIA
visababishi vya ugonjwa huu vipo vingi sana hivyo yatupasa kuviepuka ili kujiepusha na huu ugonjwa.zifuatazo ni visababishi vya ugonjwa huu
👉Utumiaji wa madawa kama cocain, nicotine, cafein, na unywaji wa pombe uliopitiliza
👉upungufu au ongezeko la homoni za Uzazi hasa katika kipindi cha uzee kwa wanawake (menopause)
👉magonjwa ya moyo ambayo humfanya mtu ashindwe kupumua vizuri wakati wa kulala
👉Utumiaji wa madawa za kuleta usingizi kama vile DIAZEPAM/VALIAM
👉matatizo ya mfumo wa Chakula kama vile kiungulia na kupata choo kigumu
👉kuwa na MSONGO wa mawazo
👉mazingira mabaya ya kulala mfano sehemu yenye mkesha wa mziki, au kiwandani
👉maumivu ya mwili au kidonda
👉magonjwa ya akili mfano SCHIZOPHREMA /DOMENTIA
_MADHARA YA KUTOKUPATA USINGIZI VIZURI (ISOMNIA)
madhara ya kutokulala vizuri ni makubwa sana kwani hushusha Kinga ya mwili na kuleta magonjwa makubwa Zaidi eg usahaulifu, kutokuweza kaamua mambo mazito, pia huharbu mfumo wa akili na ubongo na pia huchangia ongezeko la magonjwa yafuatayo :
1)KUONGEZEKA KWA TATIZO LA UKOSEFU WA KUPATA CHOO (COSTIPATION)
tatizo hili huchangiwa na ukosefu wa usingizi na huweza kuleta madhara makubwa Zaidi na kusababisha KIFO
2)UGONJWA WA MOYO
Mtu anapokosa usingizi mfumo wa uzalishaji homoni huvurugika ambapo uzalishaji wa homoni za stress (stress homoni) huongezeka na kusababisha vidonda vya tumbo hivyo huleta Hali ya kuhisi njaa kwa muda mfupi baada ya kutoka kula na katika Hali hii humfanya kuwa na HASIRA na ghadhabu
3)SHINIKIZO LA DAMU
ukosefu wa usingizi huchangia ongezeko la shinikizo la damu kwa asilmia kubwa pia huchangia kuzeeka haraka kutokana na kuvurugika kwa uzalishaji homoni za ongezeko la umri, hii hufanya mtu kuonekana mzee au mtu mzima ilhali ana umri mdogo na pia humfanya mtu kuwa na HASIRA za haraka haraka
MATIBABU NA JINSI YA KUJIKINGA NA TATIZO HILI
matibabu ya ugonjwa huu yamegawanyika katika sehemu mbili ambazo ni MATIBABU YASIYOTUMIA DAWA NA MATIBABU YANAYOTUMIA DAWA (NON PHARMACOLOGICAL TREATMENT/PHARMACOLOGICAL TREATMENT) kama unasumbuliwa na tatizo hili jua kwamba sio wewe peke yako unasumbuliwa na tatizo hili hivyo usiogope na kujipa mawazo,kiasili kichocheo cha kuleta usingizi MZURI mwilini hujulikana kama MELATONIN
MELATONIN hii ni homoni inayopatikana na kutengenezwa na tezi ya endocrine, tezi hii hupatikana katika ubongo wa Mnyama na binadam, pia tezi hii ndio inashikilia maisha yetu wanadamu kwa asilmia kubwa, hivyo ili kuweka mazingira Mazuri ya kupata usingizi na kuepukana na ugonjwa huu unatakiwa kufanya yafuatayo :
👉Epuka kutumia simu au laptop saa moja kabla ya Kulala
👉epuka kulala huku taa inawaka
👉jiwekee ratiba ya kulala na hakikisha hauvunji ratiba hiyo kila siku
👉pendelea KUNYWA asali mbichi kabla ya kulala hii husaidia kuleta usingizi MZURI
👉usilale karibu na vifaa vya umeme na sumaku
👉kunywa maziwa ya yoghurt kabla ya kulala
KAMA UNASUMBULIWA NA TATIZO HILI USISITE KUNITAFUTA 0689538628 TUTAKUPATIA DAWA YA MELATONIN AMBAYO INASAIDIA KUREKEBISHA NA KUPONYESHA TATIZO HILI LA ISOMNIA