FAHAM NAMNA YA KUJITIBU NA KUJILINDA DHIDI YA UGONJWA WA FANGASI UKENI (VAGINAL CANDIDIASIS)
Asalaam alaykum warhmatullah wabarakatul ndugu msomaji wa page hii,kutokana na kupokea maoni na maswali yenu leo nimependa kuzungumzia ugonjwa wa fangasi ukeni ambao ni common hususani kwa wanawake,
Maambukizi ya fangasi sehemu za siri imekua ni tatizo kubwa sana Duniani 75%ya wanawake wote Duniani wanasumbuliwa na tatizo hili,na maambukizi haya ya fangasi husababishwa na fangasi aina ya CANDIDA ALBICANS lakini pia maambukizi haya hujulikana kama YEAST INFECTIONS /THRUSH
CANDIDA ALBICANS hupatikana katika midomo, mpira wa kupitishia Chakula (PHARYNX), kibofu cha mkojo, uume au katika uke
bacteria Hawa huishi katika sehemu hizo Bila kuleta madhara, isipokua pale mazingira ya eneo husika, yanapobadilika, MFANO mabadiliko katika Hali ya PH
tutambue PH ya mwanamke ndani ya uke ni 4.0_4.5 au uwiano wake na vimelea (microorganisms) wengine, hivyo huharibiwa kutokana na sababu mbalimbali kama vile MATUMIZI YA MADAWA YA ANTIBIOTICS eg AMPICILLINE, CIPROFLAXINE, AMOXYLINE, DOXYCYCLINE, ERTHROMYCINE, NK pia kupungua kwa Kinga kutokana na magonjwa mbalmbal nk
maambukizi ya fangasi ukeni yamegawanyika katika sehemu KUU mbili nazo ni ÷
(1)MAAMBUKIZI YASIYO MAKALI (UNCOMPLICATED THRUSH)
~katika aina hii mgonjwa hupatwa na maambukizi Mara moja hadi nne kwa mwaka pia Dalili zake huwa si za kuogopesha na maambukizi haya husababishwa na fangasi aina ya CANDIDA ALBICANS
(2)MAAMBUKIZI MAKALI (COMPLICATED THRUSH)
Katika kundi hili mgonjwa hupatwa na maambukizi Zaidi ya Mara nne au Zaidi kwa mwaka pia Dalili zake huwa ni za kuogopesha kama maambukizi yatakua yametokea kipindi cha UJAUZITO, ugonjwa wa VVU, ugonjwa wa sukari nk
VIHATARISHI VYA MAAMBUKIZI YA FANGASI KATIKA UKE
~Mabadiliko ya mfumo wa homoni mwilini ambazo husababisha mabadiliko katika sehemu za siri
~magonjwa ya saratani ya tezi koo la Chakula (thyroid cancer)
~wanawake wenye umri wa miaka 20_30 wapo katika hatari ya kupata maambukizi haya wakati wale ambao wameshaacha kupata hedhi (menopause) na wale ambao hawajaanza kupata hedhi hawako katika hatari kutokana na mazingira na vitu wanavyotumia
~upungufu wa Kinga mwilin kutokana na magonjwa hatar ya saratani, kisukari, ugonjwa wa mononucleosis nk
~matumizi ya vidonge vya majira
~msongo wa mawazo
~kujamiana kwa njia ya kawaida Mara tu baada ya kujamiiana kupitia haja kubwa (anal sex)
~matumizi ya glycerin wakati wa kujamiiana husababisha maambukizi pia
~kuwa na historia ya kupata matibabu ya homoni (hormonal replacement therapy)
~ujauzto (husababisha kubadilika kwa mfumo wa homoni mwilini
~kuwa na utapiamlo (malnutrition
~kuvaa nguo za ndani ziszo kauka vzur
~kuvaa mavazi yanayoleta sana joto sehem za siri
DALILI ZA UGONJWA WA FANGASI UKENI
👉kuwashwa sehem za siri
👉kuhisi maumivu makali wakati wa kujamiiana (superficial dysapareunia)
👉kuhisi kuwaka moto sehemu za siri Mara baada ya kutoka kufanya tendo la ndoa au kutoka kukojoa (burning sensation
👉kupata vidonda ukeni (soreness
👉kuvimba na kuwa mwekundu katika mdomo wa nnje wa uke (labia minora
👉kupata maumivu wakati wa kukojoa
👉kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa MWEPESI au MZITO au majimaji
NOTED :Dalili na viashiria hivi huwa mbaya Zaidi mwanamke anapokua mwezini
MATIBABU NA JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU WA FANGASI UKENI
Matibabu ya fangasi ya uke hutumia dawa za kuua fangasi (antifungals). Mara nyingi dawa za kuingiza kwenye uke (vaginal pessaries) hutumika kwa muda wa siku 3 mpaka 6. Wakati mwingine dawa za kunywa zinaweza kutumika kutibu fangasi
Cotrimazole na fluconazole ni kati ya dawa zinazotumika mara kwa mara lakini pia pamoja na matibabu kuna hatari ya maambukizi ya fangasi hawa kujirudia kwakuwa Dawa zetu hizi zimekua zikitibu dalili na si chanzo cha tatizo hivyo ni muhimu kupata tiba mbadala na Ushauri zaidi unapoona inajirudia
pamoja na hayo ugonjwa huu unaweza kujikinga nao kwa kuepuka mambo mbalimbali na kufanya mambo yatakayotusaidia kutopata ugonjwa huu kwa kuzingatia kanuni ya afya na USAFI
👉Vaa chupi ambazo hazibani na zilizotengenezwa kwa pamba au hariri epuka kutumia chupi aina ya synthetic underwear
👉epuka kufanya mapenzi na mpenzi wako mwenye maambukizi haya hivyo ni vyema wapenzi wote wawili mkapata matibabu ya fangasi na mjitahidi kuwa waaminifu
👉kula mlo wenye virutubsho muhimu
👉epuka kuoga maji ya moto sana (Hot baths) tumia maji ya uvuguvugu
👉osha sehemu zako za siri kwa kutumia maji Safi na jikaushe kwa kutumia taulo au kitambaa Safi
👉epuka mavazi yote ya kubana ukeni
👉tumia ped na pantiliner zenye anions zenye uwezo wa kufyonza haraka (NEPLILY)
👉kunywa maziwa aina ya mtindi yenye live culture Mara kwa Mara yatakusaidia kuepusha maambukizi ya fangasi ukeni
👉epuka matumizi ya vifaa vya kupanga uzazi na vifaa vya kufanyia mapenzi (sex toys, diaphragm cervical caps) husababisha maambukizi ya fangasi ukeni
👉 epuka kutumia sabuni za kemikali
FAHAMU PEDI BORA ZA NEPLILY
ped za neplily zimetengenezwa kwa technologia ya hali ya juu,neplily pads na pantliner zimetengenezwa kwa anion chip technology,
Anion ni negative particles ambazo zinatoa oxygen pale zinapogusana na mwili wako,
Joto la mwili linapokutana na pedi au pantliner inaachia negative particles ambazo mwisho wa siku inatoa hewa safi ya oxygen.
anions hizi zinapatikana kwenye maporomoko ya maji,chemichemi ya maji kwenye misitu,mvua za acidi,moshi wa misitu baada ya kuunguzwa n.k.
faida za anion chip
1.inauwezo wa kuondoa muwasho,bacteria,fungus wa aina yoyote kipindi cha hedhi
2.inaondoa harufu mbaya
3.inarekebisha mzunguko na kuweka homoni sawa.
4.inapunguza uwezekano wa kupata ugumba
5.inaondoa msongo wa mawazo na uchovu kipindi cha Hedhi
6.inarekebisha mfumo wa homoni za mwili
7.pantliners pia zinatumika na wanaume wenye prostatic hypertrophy, bawa siri na kutokwa na damu kwenye njia ya haja kubwa
8.inauwezo wa kuondoa uvimbe na kuzibua mirija ya uzazi iliyoziba.
9.inaimarisha kinga ya mwili na kujikinga na matatizo yote ya uzazi.
10.inaondoa matatizo yote ya uzazi hasa baada ya kuogelea kwenye mabwawa ya kuogelea.
10.inatibu uti.
kwa ujumla neplily pads na pantiliner zina uwezo mkubwa wa kutokomeza matatizo yote yanayowakumba wanawake wakiwa kwenye siku zao.kama kuumwa kichwa,msongo wa mawazo,kuchoka,kuumwa tumbo,kuwa na flow kubwa na mengine mengi
ZITUMIENI ZITAWASAIDIA
NOTED :NDUGU MSOMAJI KAMA UNA MAONI/USHAUR NA UNASUMBULIWA NA TATIZO HILI WASILIANA NAMI NIANDIKIE UJUMBE KUPITIA NAMBA NA EMAIL HAPO CHINI
Makala hii imeandikwa na Dr Naytham S Masoud
nsalum998@gmail.com
+255623026602/+255746465095
KUPATA MAKALA ZAIDI ZA AFYA WAWEZA TEMBELEA BLOG HII naythamhealthcare.blogspot.com
naimain umejifunza Nami nashukuru kwa wew kujifunza hivyo nakuomba nawe uwafikishie elimu hii wengine KWA KUSHARE, KUKOMENT NA KUWAALIKA WENZAKO WALIKE PAGE HII

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni